Sunday, February 24, 2013

KUVAA NUSU UCHI

Kuvaa nusu uchi na kuogopa kukaa uchi:
Mwaka 2004 huko nchini Afrika Kusini
kulizuka mjadala mkali sana kuhusiana na
nguo za nusu uchi, hasa kwa wasichana wa
shule. Mjadala huo ambao ulihusisha maoni
ya wananchi wakiwemo wale wanaohemkwa
pindi waonapo tupu za wanawake, ulizuka
baada ya walimu wakuu wa shule mbalimbali
za huko kusema nguo fupi zinazovaliwa na
baadhi ya wanafunzi wa kike hualika
kubakwa.
Kumekuwa na swali la, ni kwa nini
mwanamke avae nguo fupi, halafu aogope
tena kukaa uchi. jibu lake limekuwa gumu
sana. Siyo kwa Afrika Kusini pekee, hata hapa
kwetu huwa tunawaona wanawake wengi ,
ambao wamevaa nguo fupi sana, lakini
wamekuwa wakijitahidi sana kujiziba au
kujifunika wasije wakakaa uchi, iwe wakati wa
kupanda gari, kuruka mahali au pengine
popote ambapo atahitajika kupanua miguu.
Utakuta mwanamke kavaa kimini na kitopu,
lakini kila saa utamkuta anajitahidi
kukishusha hicho kimini na kitopu wakati
akitembea barabarani. Je ulivalishwa?
Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu
aogope kukaa uchi?Kuvaa nusu uchi na kuogopa kukaa uchi:
Mwaka 2004 huko nchini Afrika Kusini
kulizuka mjadala mkali sana kuhusiana na
nguo za nusu uchi, hasa kwa wasichana wa
shule. Mjadala huo ambao ulihusisha maoni
ya wananchi wakiwemo wale wanaohemkwa
pindi waonapo tupu za wanawake, ulizuka
baada ya walimu wakuu wa shule mbalimbali
za huko kusema nguo fupi zinazovaliwa na
baadhi ya wanafunzi wa kike hualika
kubakwa.
Kumekuwa na swali la, ni kwa nini
mwanamke avae nguo fupi, halafu aogope
tena kukaa uchi. jibu lake limekuwa gumu
sana. Siyo kwa Afrika Kusini pekee, hata hapa
kwetu huwa tunawaona wanawake wengi ,
ambao wamevaa nguo fupi sana, lakini
wamekuwa wakijitahidi sana kujiziba au
kujifunika wasije wakakaa uchi, iwe wakati wa
kupanda gari, kuruka mahali au pengine
popote ambapo atahitajika kupanua miguu.
Utakuta mwanamke kavaa kimini na kitopu,
lakini kila saa utamkuta anajitahidi
kukishusha hicho kimini na kitopu wakati
akitembea barabarani. Je ulivalishwa?
Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu
aogope kukaa uchi?

Saturday, February 23, 2013

PASUKA MBAVU

Zuzu kapiga simu hospitali ya wagonjwa wa
akili:
Zuzu: Halooooooo. Samahani, chumba namba
17 kina mtu?
Dada wa Mapokezi: Subiri nikaangalie.
Zuzu: Sawa.
Dada wa Mapokezi: Nimekwenda kuangalia
hakuna mtu. Kwa nini umeuliza hivyo?
Zuzu: Nilitaka kupata uhakika kama kweli
nimetoroka au bado
nipo humo. Asante sana.!

FORM FOUR HUYO

tumethubutu, tumeweza

REMIX YA NATAKA KULEWA

remix ya nataka kulewa ya diamond uuusiniulze division gan, sabab utanizingua, ukpenda ingia net, kama ni zero au four utagundua, mm jana ckuamin, nkajuaga yakuzua, walofel niweng, na zero nyingi roho inaniumaa, (ooh majbu yamenfanya kama mtoto nilie vbaya kusoma cwez kilchobak nahiari nfunge ndoa) Nataka kuoa...mi naataka kuoa .....nataka kuoa .....zkipanda nichakalike...

UWAZIRI

hahaha

FORM FOUR

Bado tupo kwenye msiba wa ndugu zetu form four hivyo tuungane wote kwa kusema "NECTA IMETOA NECTA IMETWAA, FORM FIVE WALIIPENDA LAKINI KITAA KUMEWAPENDA ZAIDI, JINA LA NECTA LIHIMIDIWE MILELE AMINA!"