Saturday, February 23, 2013

PASUKA MBAVU

Zuzu kapiga simu hospitali ya wagonjwa wa
akili:
Zuzu: Halooooooo. Samahani, chumba namba
17 kina mtu?
Dada wa Mapokezi: Subiri nikaangalie.
Zuzu: Sawa.
Dada wa Mapokezi: Nimekwenda kuangalia
hakuna mtu. Kwa nini umeuliza hivyo?
Zuzu: Nilitaka kupata uhakika kama kweli
nimetoroka au bado
nipo humo. Asante sana.!

No comments:

Post a Comment