Sunday, February 24, 2013

KUVAA NUSU UCHI

Kuvaa nusu uchi na kuogopa kukaa uchi:
Mwaka 2004 huko nchini Afrika Kusini
kulizuka mjadala mkali sana kuhusiana na
nguo za nusu uchi, hasa kwa wasichana wa
shule. Mjadala huo ambao ulihusisha maoni
ya wananchi wakiwemo wale wanaohemkwa
pindi waonapo tupu za wanawake, ulizuka
baada ya walimu wakuu wa shule mbalimbali
za huko kusema nguo fupi zinazovaliwa na
baadhi ya wanafunzi wa kike hualika
kubakwa.
Kumekuwa na swali la, ni kwa nini
mwanamke avae nguo fupi, halafu aogope
tena kukaa uchi. jibu lake limekuwa gumu
sana. Siyo kwa Afrika Kusini pekee, hata hapa
kwetu huwa tunawaona wanawake wengi ,
ambao wamevaa nguo fupi sana, lakini
wamekuwa wakijitahidi sana kujiziba au
kujifunika wasije wakakaa uchi, iwe wakati wa
kupanda gari, kuruka mahali au pengine
popote ambapo atahitajika kupanua miguu.
Utakuta mwanamke kavaa kimini na kitopu,
lakini kila saa utamkuta anajitahidi
kukishusha hicho kimini na kitopu wakati
akitembea barabarani. Je ulivalishwa?
Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu
aogope kukaa uchi?Kuvaa nusu uchi na kuogopa kukaa uchi:

aogope kukaa uchi?

No comments:

Post a Comment